Baada Ya Promo Kubwa, Collabo Mpya Ya Rick Ross Na Jayz Yapokelewa Vibaya, Sikiliza hapa
Kwenye rap game tena usiku wa kuamkia tarehe 20/12/2013 ulitoka wimbo mpya wa rapper Rick Ross aliomshirikisha Jayz "The Devil Is A Lie". Ni wimbo uliopewa promo kubwa kutoka kwenye album mpya ya Master Mind ya Rozay na kwa sababu kashirikishwa Jay z iliaminika kuwa itakuwa kazi kali sana.
Ukweli ni kwamba comment nyingi za mwanzo kuhusu kazi hii sio nzuri na zinalenga zaidi kwenye mashairi na mdindo ulitumika kuwa sehemu zote hizo ni mbovu.
Mashairi ya Rick Ross yanasifia magari, pesa, ubabe na utajiri zaidi ila Jayz amejaribu kwenda upande meingine wa kutetea zaidi upatikanaji wa pesa na inavyo tumika na kujisifia kidogo sana.
Pia sababu ya wimbo huu kuitwa The Devil Is A lie haijaonekana kwenye wimbo huu.
Usikilize Wimbo Hapa
Baada Ya Promo Kubwa, Collabo Mpya Ya Rick Ross Na Jayz Yapokelewa Vibaya, Sikiliza hapa
Reviewed by crispaseve
on
23:04
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
23:04
Rating:


Post a Comment