DUNIA INA MAMBO!!! TAZAMA Binti mwenye NYWELE na sura ya KIUME akisimulia changamoto anazokumbana nazo mtaani..
Queen ni mtoto wa 4 kati yya familia ya watoto 5. Ni msichana mzuri na mrembo kimtazamo, lakni tatizo kubwa linalomkabili maishani mwake ni nywele ambazo zimekuwa zikimfanya aonekane kama mwanaume….. Akiongea na paparazi wetu kwa njia ya mtandao, Queen amesimulia kuhusu changamoto anazokumbana nazo kutokana na tatizo hilo.
“Nimerithi hizi nywele toka kwa mama yangu na zilinianza nikiwa na miaka 21. Kadri miaka ilivyozidi kusonga mbele, tatizo hili lilizidi kusambaa mwili mzima. “Mwanzo nilikuwa najisikia vibaya sana maana watu walikuwa wakiniona ni kiumbe wa ajabu, lakini baadae nilizoea na ikanilazimu nikubaliane na ukweli….
DUNIA INA MAMBO!!! TAZAMA Binti mwenye NYWELE na sura ya KIUME akisimulia changamoto anazokumbana nazo mtaani..
Reviewed by crispaseve
on
22:54
Rating:

Post a Comment