EBSS CHIEF JUDGE ‘MADAM RITA PAULSEN’ REVEALS HER SECRET .
Madam Rita Pailsen.
Jana Chief Judge wa shindalo la kusaka vipaja EBSS, Rita Paulsen a.k.a Madam aliamua kutoa baadhi ya siri yake kwa mashabiki kupitia ukurasa wake wa mashabiki wa Facebook, aliandika….
”Jambo mmoja msilofahamu kuhusu mimi…. Nilipata ujauzito nikiwa na umri mdogo sana. Kwa jamii yetu inayotuzunguka, ukizaa katika umri mdogo, watu huwa wanakunyanyapaa, hukuona haufai kuwa katika jamii na hata kukuhukumu. Kwa umri ule niliona ni kama hamna tena maisha kwangu lakini sikukata tamaa na leo hii ujasiri wangu na kitu kinachonipa msukumo wa maisha hadi kufika hapa nilipo ni hicho kilichonikuta nikiwa na umri mdogo.”Kukataa tamaa isiwe ndio chaguo lako la kwanza”
EBSS CHIEF JUDGE ‘MADAM RITA PAULSEN’ REVEALS HER SECRET .
Reviewed by crispaseve
on
22:04
Rating:

Post a Comment