Header AD

HIVI KUNA UKWELI JUU YA HUU UJUMBE AU UMETENGENEZWA BAADA YA KUKAMATWA?

Yaelekea mwanadada Jackie alikuwa amejipanga kisawa sawa na alijitoa muhanga na kujua lolote lingeweza kumpata kutokana na kazi aliyo kuwa akifanya ya kubeba sembe. Jackie alijipanga na  kuamua kumuachia rafiki yake kipenzi Martin Kadinda maagizo na wosia wake just incase ikatokea akafariki. Jackie aliweza kuandika ujumbe huo kwenye status yake ya BBM kama inavyo onekana hapa chini.
Jackie amekamtwa mapema mwezi huu Macau, China na kilo 1.1 za heroin  na sasa anasubiria hatma yake kutokana na kosa hilo la kusafirisha madawa ya kulevya. 
Katika maisha kila mtu ana yule rafiki mmoja (BFF) ambaye anamuamini na kumweka moyoni mwake kama ilivyo kwa Jackie na Marin.
HIVI KUNA UKWELI JUU YA HUU UJUMBE AU UMETENGENEZWA BAADA YA KUKAMATWA? HIVI KUNA UKWELI JUU YA HUU UJUMBE AU UMETENGENEZWA BAADA YA KUKAMATWA? Reviewed by crispaseve on 08:06 Rating: 5

No comments

Post AD