Kundi La The LOX Warudi Tena Kwenye Rap Game
Kundi la rap la The LOX Wamerudi tena kwenye rap game na kutoa cd yenye nyimbo nne tu kama kazi ya kufunga na kufungua mwaka huku wakuahidi kazi zaidi mwakani. The Lox nikundi lenye vichwa
vitatu vikali kwenye rap toka kitambo. Wasanii Kama Jadakiss, Styles P na Sheek Louch ndio members wa kundi hilo na wiki hii wameachia rasmi cd yao inayoitwa "The Trinity."
The Trinity haijafanyiwa promo yoyote mpaka sasa na imetoka ghafla tu ikaonekana itunes na kwenye mitandao ya kuuza muziki. Cd inanyimbo nne ambazo ni "Faded" "Talk About It" "Love Me Or Leave Me Alone"na "Three Kings" .
Wasani Tyler Woods na Dyce Payne ndio walioshirikishwa .
Kundi La The LOX Warudi Tena Kwenye Rap Game
Reviewed by crispaseve
on
23:14
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
23:14
Rating:



Post a Comment