MOHAMED MATUMLA AMGALAGAZA NASSIBU RAMADHANI KWA POINT NA KUIBUKA NA PIKIPIKI
| Bondia Mohamed Matumla kushoto akipambana na Nassibu Ramadhani wakati wa mpambano wao uliofanyika siku ya sikukuu ya krismas na kugombania pikipiki yenye thamani ya shilingi milioni 1.9 Matumla alishinda kwa pointi mpambano huo na kuibuka na bodaboda picha nawww.superdboxingcoach. |
MOHAMED MATUMLA AMGALAGAZA NASSIBU RAMADHANI KWA POINT NA KUIBUKA NA PIKIPIKI
Reviewed by crispaseve
on
23:01
Rating:

Post a Comment