Header AD

MSONDO NGOMA WALIVYOKONGA NYOYO ZA MASHABIKI WAO KWENYE VIWANJA VYA TCC CHANG'OMBE




Waimbaji wa bendi ya Msondo Ngoma "Baba ya Muziki" wakitoa burudani kwa mashabiki wao waliohudhuria onyesho lao lililofanyika jana kwenye kiota cha TTC Club,Chang'ombe jijini Dar.kutoka kushoto ni Eddo Sanga,Othumani Kambi , Shabani Dede na Hassani Moshi.
Wazee wa Midomo ya Bata wa bendi ya Msondo Ngoma wakiwajibika wakati wa onyesho lao hilo.toka shoto ni Shabani Lendi,Hamisi Mnyupe na Romani Mng'ande.
Wapiga magita wa msondo ngoma wakifanya yao wakati walipokuwa wakitoa burudani.kushoto ni Abdul Ridhiwani na Mustafa Pishuu. picha na Burudan Blog
MSONDO NGOMA WALIVYOKONGA NYOYO ZA MASHABIKI WAO KWENYE VIWANJA VYA TCC CHANG'OMBE MSONDO NGOMA WALIVYOKONGA NYOYO ZA MASHABIKI WAO KWENYE VIWANJA VYA TCC CHANG'OMBE Reviewed by crispaseve on 22:23 Rating: 5

No comments

Post AD