Header AD

MUIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI ATILIWA ZENGWE BAADA YA PICHA YA ALBAMU YAKE KUWA NA MVUTO ULIOPITILIZA.

Erica Campbell blasted over sexy album cover

Hii ndio Albamu Cover iliyomletea Zengwe Muimbaji wa Injili, Erica Campbell.
Muimbaji maarufu wa nyimbo za Injili anayetokea nchini Marekani,  Erica Campbell ambaye ni miongoni mwa wanamuziki wanaounda   kundi la Mary Mary amejikuta akipata vipingamizi kufuatia picha aliyopiga kwa ajili ya ujio wa  albamu yake mpya ya nne  inayokwenda kwa jina la ‘Help’  kuwa na mvuto uliopitiliza.
Akizungumza katika mahojiano na mtandao wa Essence.com  bi mdada huyo mrembo alidai kwamba kupiga picha hiyo yenye mvuto ni kudhihirisha uumbaji wa Mwenyezi Mungu pia akamalizia kwa kuwahasa wasichana wadogo hawapaswi kuwa warembo ili waonekane na watu bali wanatakiwa kumpokea Mungu kama jinsi yeye alivyompokea na kujiamini kwamba ni mzuri na mrembo
MUIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI ATILIWA ZENGWE BAADA YA PICHA YA ALBAMU YAKE KUWA NA MVUTO ULIOPITILIZA. MUIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI ATILIWA ZENGWE BAADA YA PICHA YA ALBAMU YAKE KUWA NA MVUTO ULIOPITILIZA. Reviewed by crispaseve on 22:32 Rating: 5

No comments

Post AD