Header AD

ORODHA YA MAGARI KUMI(10) YA KIFAHARI YANAYOILIKIWA NA WANAWAKE WACHACHE.

Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na tovuti ya Edmunds.com baada ya kufanya utafiti wa takribani magari milioni 10 yaliyosajiliwa ikishirikiana na Marketwatch umeonyesha kwamba kuna tofauti kubwa kati ya mwanaume na mwanamke linapokuja suala la  umiliki wa gari au magari huku chati ikionyesha asilimia kubwa ya wanaume kuweza kumudu kumiliki magari yenye thamani kubwa kushinda wanawake.
Mtandao huo ulienda mbele zaidi kwa kutoa mfano wa gari ya kifahari aina ya Lamborghini kutoka nchini Italy huku takwimu zikionyesha kumilikiwa zaidi na wanaume kwa zaidi ya asilimia 90, katika utafiti huo ulioeleza kwamba wanawake wengi wamekuwa wakiangalia vigezo kama ulaji wa mafuta hali inayowapelekea  kumiliki mikoko ya kawaida kama vile Mini, Kia, Fiat, Mitsubishi na Hyundai tofauti na wanaume. Hizi ni Takwimu unaweza ukatazama hapo chini..
(1).Lamborghini – {Male ownership = 93%}
(2).McLaren -  { Male OwnerShip = 93%}
http://zonters.com/image/2013/11/mclaren-hd-wallpapers-download-desktop-new-7.jpg
(3).Ferrari – { Male Ownership = 92%}
justin bieber, ferrari LA,2012 - justin-bieber Photo
(4).Astorn Martin – {Male OwnerShip = 88%}
(5). Fisker Karma – {Male OwnerShip = 87%}
(6). LOTUS -  Male Ownership = 86%}
Picture of a 2005 Krypton Green Lotus Elise.  The car is positioned diagonally across parking space markings in an empty parking lot of a shopping mall in Ten Broeck, Kentucky, US. A number of stores are visible in the distant background. It is night and the car is illuminated by a tall overhead lighting post to the left front of the car (not visible within the framed picture) that casts a shadow almost directly under the car, but shifted slightly to the right rear. Numerous reflected lighting highlights are visible across the smoothly curved glossy body surfaces. The photo is taken from the right front of the vehicle approximately 8-10 feet away.  The front wheels are turned slightly to the left so that eight silver spokes and the center "Lotus" emblem is readily visible on the passenger side front wheel.  A red vertically positioned front tow hook protrudes from the black front egg-crate grillwork and casts a slight shadow down over the front plinth. The car has been modified with the addition of a front carbon fiber splitter.  The headlights and sidelights are lit.
(7).RAM – {Male OwnerShip = 84%}
2014 Ram Heavy Duty Images
(8).MASERATI – {Male OwnerShip = 84%}
Cool Black Maserati Ghibli Concept HD Wallpaper
(9).ROLLS ROYCE – {Male OwnerShip = 84%}
David Beckham Rolls Royce Ghost
TESLA – {Male OwnerShip = 83%}
2013 Tesla Model S Front 1
ORODHA YA MAGARI KUMI(10) YA KIFAHARI YANAYOILIKIWA NA WANAWAKE WACHACHE. ORODHA YA MAGARI KUMI(10) YA KIFAHARI YANAYOILIKIWA NA WANAWAKE WACHACHE. Reviewed by crispaseve on 22:27 Rating: 5

No comments

Post AD