PICHA ZA MASTAA MBALIMBALI WAKISHEREKEA SIKUKUU YA XMAS HUKO MAJUU.
Msimu wa sikukuu za Christmas na mwaka mpya ndio umewadia na ikumbukwe kuwa kila ifakapo Tar 25 Mwezi wa 12 kila mwaka Wakristo wote ulimwenguni husherekea kuzaliwa kwa Yesu Kristo, Hizi ni baadhi ya picha chache nilizozipata mtandaoni za mastaa mbalimbali Dunia wakijiachia kwa kula bata katika msimu huu wa sikukuu .
Prince Michael Jackson
Picha mbili tofauti zinamuonyesha mtoto wa kiume wa Mfalme wa Pop Duniani, Michael Jackson anayeitwa Prince akila bata na marafiki zake katika visiwa vya Hawaii kwenye mapumziko ya kusherekea sikukuu za Xmas.
Mwanamitindo Kimora Lee akichumu na BF wake wa Kirussia katika visiwa vya maraha vya Caribbean akiwa sambamba na familia yake.
Huku Prince George kutoka katika familia ya kifalme akiwa sambamba na mama yake Kate Middleton na mshua wake Prince Williams, Dah! wametokelezea bomba kweli.
Mwanamuziki Mariah Carey akiwa na Hubby wake Nick Canon pamoja na watoto wao wakijiachia kwa raha zao.
PICHA ZA MASTAA MBALIMBALI WAKISHEREKEA SIKUKUU YA XMAS HUKO MAJUU.
Reviewed by crispaseve
on
22:14
Rating:



Post a Comment