PICHA KUTOKA OFISI YA MAKAMU WA RAIS: MAKAMU WA RAIS AWASILI ZANZIBAR KUZINDUWA KAMPENI KIEMBESAMAKI LEO
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana
na Katibu wa CCM Mkoa wa Mjini Unguja, Alhajj
Rajab Kundiya alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abeid Amani
Karume Zanzibar leo tarehe 22-2014 kwa ajili ya ufunguzi wa kampeni za uchaguzi
mdogo wa Uwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki Zanzibar utakaofanyika leo.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana
na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Unguja, Borafya Silima alipowasili kwenye
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo tarehe 22-2014 kwa
ajili ya ufunguzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Uwakilishi wa Jimbo la
Kiembesamaki Zanzibar utakaofanyika leo.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana
na Mgombea Uwakilishi Jimbo la KiembeSamaki CCM Mahmoud Thabit Kombo,
alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo
tarehe 22-2014 kwa ajili ya ufunguzi wa kampeni za uchaguzi mdogo utakaofanyika
leo.Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
PICHA KUTOKA OFISI YA MAKAMU WA RAIS: MAKAMU WA RAIS AWASILI ZANZIBAR KUZINDUWA KAMPENI KIEMBESAMAKI LEO
Reviewed by crispaseve
on
12:47
Rating:

Post a Comment