Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.ALi Mohamed Shein
akisalimiana na Waziri wa Maendeleo ya Miji na Vijijini Nchini China
Bw,Jiang Weixin,alipofika Ikulu ya Migombani,Waziri huyo yupo nchini
kushiriki sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.ALi Mohamed Shein
akizungumza na Waziri wa Maendeleo ya Miji na Vijijini Nchini China
Bw,Jiang Weixin,alipofika Ikulu ya Migombani,Waziri huyo yupo nchini
kushiriki sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
DK.SHEIN AKUTANA WAZIRI WA MAENDELEO YA MIJI NA VIJIJINI WA CHINA.
Reviewed by crispaseve
on
08:08
Rating: 5
Post a Comment