Header AD

Ona Jinsi Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia Alivyopokelewa Kwa Shangwe Katika Ofisi Za Wizara Hiyo Kwa Mara Ya Kwanza Kama Naibu Waziri


 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Olegabriel akimkaribisha Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia katika tukio la kumkaribisha lililofanyika jijini Dar es Salaam jana
 Mkurugenzi  Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania Bwana Clement Mshana (kushoto) akimpongeza Mheshimiwa Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia wakati wa mapokezi yake katika Ofisi za Wizara zilizopo jijini Dar es Salaam Leo  katikati ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara Prof. Elisante Olegabriel
 Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia akisalimiana na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha TEHAMA Bwana Kulwa Magingila wakati wa mapokezi yake yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara Prof Elisante Olegabriel
 Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Dkt. Fennela Mukangara akimkaribisha Naibu Waziri Mheshimiwa Juma Nkamia katika Ofisi za Wizara zilizopo katika jengo la Mfuko wa Pensheni wa PSPF jijini Dar es Salaam jana.
 Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fennela Mukangara akiongea na Wanahabari akiongea na Wanahabari wakati wa mapokezi ya Naibu Waziri Mheshimiwa Juma Nkamia jijini Dar es Salaam leo wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari Bwana Raphael Hokororo.
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia akiongea na Wanahabari Ofisini kwake katika tukio la kumkaribisha lililofanyika jijini Dar es Salaam leo kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara Prof Elisante Olegabriel
Ona Jinsi Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia Alivyopokelewa Kwa Shangwe Katika Ofisi Za Wizara Hiyo Kwa Mara Ya Kwanza Kama Naibu Waziri Ona Jinsi Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia Alivyopokelewa Kwa Shangwe Katika Ofisi Za Wizara Hiyo Kwa Mara Ya Kwanza Kama Naibu Waziri Reviewed by crispaseve on 12:59 Rating: 5

No comments

Post AD