Header AD

Kitu Kinachosadikiwa Kuwa ni Bomu Laonekana Makutano ya Barabara za Morogoro na Shekilango Karibu Kabisa na Kituo Kipya Cha Mabasi Yaendayo Kasi


 Vikosi Maalum Vya Ulinzi na Usalama Wakiangalia kwa makini na kuondoa kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu kwenye kitu cha mabasi Shekilango jijini Dar es Salaam  kwenye makutano ya Barabara za Morogoro na Shekilango Leo Mchana Huu.Hata hivyo vyombo vya ulinzi na usalama vilifanikiwa kuondoa kitu hicho bila madhara yoyote kwa wananchi.Habari zaidi baaadae.,.
Kitu Kinachosadikiwa Kuwa ni Bomu Laonekana Makutano ya Barabara za Morogoro na Shekilango Karibu Kabisa na Kituo Kipya Cha Mabasi Yaendayo Kasi Kitu Kinachosadikiwa Kuwa ni Bomu Laonekana Makutano ya Barabara za Morogoro na Shekilango Karibu Kabisa na Kituo Kipya Cha Mabasi Yaendayo Kasi Reviewed by crispaseve on 22:28 Rating: 5

No comments

Post AD