MABONDIA WATIFUANA USIKU WA KUINGIA MWAKA MPYA
| Bondia Mustafa Dotto kushoto akioneshana umaili wa kutupiana makonde na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mpambano wao king class alishinda kwa point |
| Bondia Mustafa Dotto kushoto akioneshana umaili wa kutupiana makonde na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mpambano wao king class alishinda kwa point |
| USHINDI RAHA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' AKINULIWA MKONO JUU BAADA YA KUMDUNDA MUSTAFA DOTTO WAKATI WA KUSHEREKEA USIKU WA MWAKA MPYA |
| Bondia Iddy Mnyeke kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Cosmas Cheka wakati wa mpambano wao wa kuuwaga mwaka na kuukaribisha mwaka mpya mpambano huo ulito droo |
| Cosmas Cheka na Iddy Mnyeke wakipambana |
| MABONDIA WAKISUBILI MATOKEO AMBAYO YALIKUWA NI DROOpicha na www.superdboxingcoach. |
MABONDIA WATIFUANA USIKU WA KUINGIA MWAKA MPYA
Reviewed by crispaseve
on
04:50
Rating:

Post a Comment