Header AD

Samuel Eto'o aifanyia kitu mbaya Man U...apiga 3 Chelsea ikiibamiza Man U 3-1; Tottenham yaichapa Swansea 3-1



Hat-trick ya Samuel Eto'o imewahakikishia Chelsea kuendelea kutoa shinikizo katika msimamo katika Premier League huku ikiyadidimiza matumaini ya Manchester United kuweza kutetea taji lao msimu huu. Mshambuliaji huyo veteran alifunga mara mbili katika kipindi cha kwanza dakika ya 17 na 49 na akamalizia kazi katika kipindi cha pili baada ya kufunga bao la tatu dakika ya 49.

Kwa matokeo hayo sasa Chelsea iko nyuma ya vinara wa ligi hiyo Arsenal kwa pointi mbili na pointi moja nyuma ya Manchester City wanaoshika nafasi ya pili kwenye msimamo. 
Meneja wa United David Moyes yuko nyuma kwa pointi 14 dhidi ya vinara Arsenal. Katika mchezo huo uliochezwa kwenye dimba la Stanford Bridge, Nemanja Vidic alitolewa kwa jadi nyekundu baada ya kumchezea vibaya Eden Hazard.
Katika mchezo uliopigwa mapema leo, Tottenham iliondoka na pointi tatu muhimu baada ya kuichapa Swansea 3-1. Mabao ya washindi yamefungwa na Adebayor dakika ya 35 na 71 na Chico akajifunga dakika ya 53. Bao pekee la Swansea limefungwa dakika ya 78 na Bony.

Hero: Samuel Eto'o (centre) scored a hat-trick to help Chelsea defeat Manchester United at Stamford Bridge
Opener: Eto'o (left) gave Chelsea the lead after his shot was deflected by Michael Carrick (right)
Well done: Cesar Azpilicueta (left) runs towards Eto'o to celebrate Chelsea's opening goal
Battle: David Luiz (centre) put in an energetic performance for Chelsea against United
Brace: Eto'o's second goal of the game came at a crucial time for Chelsea
Helpless: David Moyes (centre) gestures during Chelsea's victory over United at Stamford Bridge
Time: Eto'o (left) was given too much space inside United's penalty area before scoring his second
Spectacle: David Beckham was one of a hosts of famous faces in attendance at Stamford Bridge
Blown away: Adnan Januzaj (left) and Danny Welbeck stand dejected after Chelsea's second goal
Hot streak: Chelsea players celebrates Eto'o's (right) second goal of the game against United
Lone man: Danny Welbeck (right) gets past Ramires during Chelsea's win against United
Samuel Eto'o aifanyia kitu mbaya Man U...apiga 3 Chelsea ikiibamiza Man U 3-1; Tottenham yaichapa Swansea 3-1 Samuel Eto'o aifanyia kitu mbaya Man U...apiga 3 Chelsea ikiibamiza Man U 3-1; Tottenham yaichapa Swansea 3-1 Reviewed by crispaseve on 12:40 Rating: 5

No comments

Post AD