Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli Edward Lowassa Amfariji Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM,Mzee Yusuph Makamba Kwa Kufiwa na Mama yake mzazi Kijijini Kwake Maezangula Wilaya ya Korogwe,Mkoani Tanga
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward
Lowassa (kushoto) akimsikiliza Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM,Mzee Yusuph
Makamba (wa pili kushoto) wakati alipokuwa akimtambulisha dada
zake,wakati Mh Lowassa alipokwenda kumpa pole
Mzee Makamba aliepatwa na msiba wa kufiwa na mama yake mzazi huko
kijijini kwake Maezangula wilaya ya Korogwe,Mkoani Tanga jana.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
(katikati) na Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM,Mzee Yusuph Makamba
wakimsikiliza Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia,Mh. January Makamba
wakati wa mazungumzo yao.Mh Lowassa aliitembelea Familia ya Mzee Makamba
kwa kumpa pole kwa kupatwa na msiba wa kufiwa na mama yake mzazi huko kijijini kwake Maezangula wilaya ya Korogwe,Mkoani Tanga jana.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli Edward Lowassa Amfariji Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM,Mzee Yusuph Makamba Kwa Kufiwa na Mama yake mzazi Kijijini Kwake Maezangula Wilaya ya Korogwe,Mkoani Tanga
Reviewed by crispaseve
on
07:51
Rating:

Post a Comment