CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA KAMPASI YA DAR CHAENDELEA KUFANYA VIZURI, CHAWEKA MIFUMO YA KISASA YA KUFUATILIA KUDHIBITI UKIUKWAJI WA MAADILI.

Naibu
Waziri wa Viwanda na Biashara Mh. Janet Mbene (katikati) akiwa
ameongozana na Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam Prof.
Emanuel Mjema (kulia) mara baada ya kukitembelea chuo hicho jijini Dar
es salaam.

Mkuu
wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam Prof. Emanuel Mjema (mwenye
suti nyeusi) akimwonesha Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Janet
Mbene maeneo ya chuo hicho yaliyovamiwa ambayo sasa yamejengwa majengo
ya biashara.

Waziri wa Viwanda na Biashara Mh. Janet Mbene akiongea na viongozi wa
Chuo cha elimu ya Biashara mara baada ya kutembelea maeneo mbalimbali ya
chuo hicho jijini Dar es salaam.

Naibu
Waziri wa Viwanda na Biashara Mh. Janet Mbene akiwa katika picha ya
pamoja na viongozi wa Chuo cha elimu ya Biashara mara baada ya
kuhitimisha ziara yake katika chuo hicho jijini Dar es salaam.
CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA KAMPASI YA DAR CHAENDELEA KUFANYA VIZURI, CHAWEKA MIFUMO YA KISASA YA KUFUATILIA KUDHIBITI UKIUKWAJI WA MAADILI.
Reviewed by crispaseve
on
09:18
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
09:18
Rating:

Post a Comment