Picha:Balozi wa Nchi za Falme za Kiarabu Hani Abdullah Mominah Akabidhi Magari 20 aina ya pick-up na Pikipiki 14 Kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi

Baadhi ya pikipiki zilizokabidhiwa leo

Magari 20 aina ya pick-up na Pikipiki 14 yaliyotolewa na Serikali ya watu wa Oman yakabidhiwa leo kwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi jijini Dar es salaam.Vifaa hivyo vitasaidia kupunguza uhalifu katika sehemu mbalimbali nchini.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe akiijaribu moja ya pikipiki zilizokabidhiwa leo na Serikali ya Omani, kulia Balozi wa Nchi za Falme za Kiarabu Hani Abdullah Mominah akifurahia.

Balozi wa Nchi za Falme za Kiarabu Hani Abdullah Mominah akizungumza jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe wakati wa hafla ya makabidhiano ya vitendea kazi iliyofanyika leo jijini Dar es salaam.

Picha ya pamoja baada ya makabidhiano hayo, wapili toka kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe na kulia kwake ni Balozi wa Nchi za Falme za Kiarabu Hani Abdullah Mominah mara baada ya makabidhiano hayo leo jijini Dar es salaam.Picha na Immaculate Makilika-Maelezo
Picha:Balozi wa Nchi za Falme za Kiarabu Hani Abdullah Mominah Akabidhi Magari 20 aina ya pick-up na Pikipiki 14 Kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
Reviewed by crispaseve
on
09:24
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
09:24
Rating:

Post a Comment