BAADHI YA WIZARA, IDARA NA TAASISI ZA SERIKALI ZAPEWA VIFAA VYA TEKNOLOJIA, HABARI NA MAWASILIANO (TEHAMA)
Waziri
wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum akimkabidhi laptop Mkuu wa Jeshi la
Polisi Nchini IGP Ernest Mangu wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vifaa
vya Teknolojia, Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwa baadhi ya Wizara,
Idara na Taasisi za Serikali iliyofanyika leo katika ukumbi wa mikutano
wa Wizara ya Fedha.
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum akihutubia wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati
wa hafla fupi ya kukabidhi vifaa vya Teknolojia, Habari na Mawasiliano
(TEHAMA) kwa baadhi ya Wizara, Idara na Taasisi za Serikali iliyofanyika
leo katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Fedha.
Waziri
wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum (Mb) (katikati) akiwa katika picha ya
pamoja na viongonzi mbalimbali wa Serikali pamoja na mwakilishi wa Wadau
wa Maendeleo nchini Bw. Richard Martini (kulia kwake) baada ya kumaliza
hafla fupi ya kukabidhi vifaa vya Teknolojia, Habari na Mawasiliano
(TEHAMA) kwa baadhi ya Wizara, Idara na Taasisi za Serikali
iliyofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Fedha.
BAADHI YA WIZARA, IDARA NA TAASISI ZA SERIKALI ZAPEWA VIFAA VYA TEKNOLOJIA, HABARI NA MAWASILIANO (TEHAMA)
Reviewed by crispaseve
on
23:35
Rating:

Post a Comment