Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia CCM Bw. Ridhiwani Kikwete akizungumza na Mpigapicha wa magazeti ya Jambo Leo
ambaye pia ni Mkurugenzi wa Mtandao wa Kamanda wa Matukio Blog
Richard Mwaikenda wakati wa mkutano wake wa kampeni katika Kijiji cha
Kaloleni,kata ya Ubena leo.
Post a Comment