Header AD

Mdau Boniface Makulilo akijadili suala la Scholarship katika kipindi cha NJE-NDANI



Mdau Ernest Makulilo ambaye huandika kuhusu masuala ya Scolarship HAPA na pia kutoa video za suala hili HAPA
UNATAKA SCOLARSHIP? Unajua pa kuzipata? Unajua namna ya kuzipata? Masharti yake je? Makosa yanayofanywa na wengi? Tofauti ya Scholarships za Undergraduate na Graduates wazijua? Yapi ya kuchunga wakati wa kutafuta scholarships? Boniface Makulilo ambaye amenufaika na scholarship hizi na kuandika kuzihusu kwa miaka ipatayo sita anaungana na Mubelwa Bandio wa Jamii Production kujadili hili. Kuna mengi mema ya kujifunza. KARIBU 
Mdau Boniface Makulilo akijadili suala la Scholarship katika kipindi cha NJE-NDANI  Mdau Boniface Makulilo akijadili suala la Scholarship katika kipindi cha NJE-NDANI Reviewed by crispaseve on 00:58 Rating: 5

No comments

Post AD