Header AD

TIMU YA YANGA YAPATA AJALI MIKESE MKOANI MOROGORO.


Image
Wachezaji wa Yanga wakiwa na viongozi wao wamenusurika kupata ajali mbaya leo asubuhi  eneo la Mikese baada ya basi lao kuingia mtaroni walipokuwa wakisafiria kutokea Morogoro kuelekea Dar es salaam.
Taarifa zinasema kwamba hakuna mchezaji au mtu yoyote aliyeumia katika ajali hiyo. Timu ya Yanga jana ilicheza na wakata miwa wa Mtibwa katika dimba la   Jamhuri na matokeo kuwa suluhu.


TIMU YA YANGA YAPATA AJALI MIKESE MKOANI MOROGORO. TIMU YA YANGA YAPATA AJALI MIKESE MKOANI MOROGORO. Reviewed by crispaseve on 14:05 Rating: 5

No comments

Post AD