UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE JIMBO LA KALENGA:Matokeo ya Awali yasiyo rasmi kutoka vituo mbalimbali yaonesha ccm kuongoza
Mgombea
Ubunge wa Jimbo la Kalenga kwa tiketi ya chama cha CCM,Ndugu Godfrey
Mgimwa akiwa amebebwa juu na wafuasi wa chama hicho usiku huu,kwenye
Ofisi za CCM mkoa,huku wakisubiri matokeo rasmi kutangazwa na Tume ya
Taifa ya Uchaguzi muda wowote kuanzia sasa.
Ipamba no2. CCM 104, Chadema 10,CHAUSTA 0
Isakulilo CCM 83,Chadema 8,CHAUSTA 0
Kilindi A CCM 69 ,Chadema 23, CHAUSTA 0
Ofisi ya Kijiji(Kilindi) CCM 117, Chadema 53, CHAUSTA0
Zahanati CCM 117,Chadema 67, CHAUSTA 1
Ifunda
Kivalali A CCM 99 Chadema 19 CHAUSTA 0
Kivalali B CCM 109 Chadema 14, CHAUSTA 1
Muwimbi CCM164, Chadema 22 CHAUSTA 0
Mahanzi CCM 130 Chadema 46 CHAUSTA 0
Ikungwe A CCM 131 Chadema 23 CHAUSTA 0
Ikungwe B CCM 216 Chadema 13 CHAUSTA 0
Magunga CCM 184 ,Chadema 4 CHAUSTA1
Wasa CCM 149,Chadema 15 CHAUSTA 0
Usengelidete CCM 260,Chadema 46,CHAUSTA O
KAMANDA WA UVCCM MKOA WA IRINGA SALIM ASAS AKICHEZA KWA SHANGWE VIWANJA VYA CCM MKOA KUSHEREKEA USHINDI WA CCM KALENGA
Matokeo ya Awali yasiyo rasmi baadhi ya vituo inaongoza kwa mbali.
UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE JIMBO LA KALENGA:Matokeo ya Awali yasiyo rasmi kutoka vituo mbalimbali yaonesha ccm kuongoza
Reviewed by crispaseve
on
21:50
Rating:
Post a Comment