Header AD

HATIMAYE MSHINDI WA REDS MISS UDOM APATIKANA,KAMATI YA MISS TANZANIA YATOA PONGEZI, LUNDENGA KUTOA SALUTI KWA DELICIOUS AMBAO NDIO WAANDAAJI


Mshindi Sophia Masei akiwa na katika Picha ya pamoja na mshindi wa pili kushoto Panieli Reonald na mshindi wa tatu kulia Nai Mkwavii mara baada ya kutangazwa ka matokeo hayo usiku wa kuamkia leo pale katika ukumbi wa Kilimani Landmark Dodoma


Twanga Pepeta walikuwepo kusindikiza Fainali za mashindano hayo katika Ukumbi wa Kilimani Landmark Dodoma


Jopo la Majaji waliotoa maauzi ya kumata mshindi wa Reds Miss UDOM 2014






Mshindi wa Miss UDOM mwaka jana alikuwepo kumvisha taji Mshindi wa Mwaka huu
HATIMAYE MSHINDI WA REDS MISS UDOM APATIKANA,KAMATI YA MISS TANZANIA YATOA PONGEZI, LUNDENGA KUTOA SALUTI KWA DELICIOUS AMBAO NDIO WAANDAAJI HATIMAYE MSHINDI WA REDS MISS UDOM APATIKANA,KAMATI YA MISS TANZANIA YATOA PONGEZI, LUNDENGA KUTOA SALUTI KWA DELICIOUS AMBAO NDIO WAANDAAJI Reviewed by crispaseve on 03:44 Rating: 5

No comments

Post AD