Header AD

KUHUSU BUNGE MAALUM LA KATIBA.


 Mwenyekiti wa Bunge la Katiba Samuel Sitta (kulia) akiongea na waandishi wa habari leo mjini Dar es salaam kuhusu mazungumzo yake na Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo(hayupo katika picha) . Kushoto ni Katibu wa Jimbo Kuu la Dar e salaam Padre Denis  Wigira. Picha na Bunge Maalum la Katiba.
Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo(kushoto) akimkaribisha Mwenyekiti wa Bunge la Katiba Samuel Sitta (kulia) ofisini kwake leo mjini Dar es salaam kuhusu maendeleo ya Bunge Maalum.
KUHUSU BUNGE MAALUM LA KATIBA. KUHUSU BUNGE MAALUM LA KATIBA. Reviewed by crispaseve on 03:04 Rating: 5

No comments

Post AD