Header AD

MABONDIA MIYEYUSHO,CHEKA,KING CLASS MAWE WAPIMA UZITO KUPAMBANA JUMAMOSI APRIL 12 PTA SABASABA

Bondia Fransic Miyeyusho 'Chichi Mawe' akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake utakaofanyika PTA Sabasaba April 12 siku ya jumamosi picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
 Bondia Fransic Cheka akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake wa kesho April 12 katika ukumbi wa PTA Sabasaba kushoto ni bondia Gavad Zohrehvand wa Iran .



Baadhi ya Waandishi wa habari wakipata taswira mbalimbali za mabondia wakati wa kupima uzito.
MABONDIA MIYEYUSHO,CHEKA,KING CLASS MAWE WAPIMA UZITO KUPAMBANA JUMAMOSI APRIL 12 PTA SABASABA MABONDIA MIYEYUSHO,CHEKA,KING CLASS MAWE WAPIMA UZITO KUPAMBANA JUMAMOSI APRIL 12 PTA SABASABA Reviewed by crispaseve on 02:09 Rating: 5

No comments

Post AD