Header AD

MABONDIA WAPIMA UZITO KWA AJILI YA MPAMBANO WA LEO UKUMBI WA PTA SABASABA, DAR ES SALAAM

Bondia Sukkasem Kietyongyuth  kutoka Thailand kulia akitunishiana misuli na Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa Jumamosi ya leo April 19 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam.
Bondia Sukkasem Kietyongyuth  kutoka Thailand kulia akitunishiana misuli kwa mkono na Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa Jumamosi ya leo April 19 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam 
Bondia Sukkasem Kietyongyuth  kutoka Thailand kulia wakipeana salamu ya heshima na Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa Jumamosi ya leo April 19 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
MABONDIA WAPIMA UZITO KWA AJILI YA MPAMBANO WA LEO UKUMBI WA PTA SABASABA, DAR ES SALAAM MABONDIA WAPIMA UZITO KWA AJILI YA MPAMBANO WA LEO UKUMBI WA PTA SABASABA, DAR ES SALAAM Reviewed by crispaseve on 05:34 Rating: 5

No comments

Post AD