Header AD

PICHA ZA UZINDUZI WA VIDEO YA QUEEN DARLEEN ‘WANATETEMEKA’ CLUB BILLICANAS.



Queen Darleen akiwatetemesha mashabiki kwa steji.
Queen Darleen akiwatetemesha mashabiki kwa steji.
Usiku wa jana palikuwa hapatoshi ndani ya kiota cha burudani ‘Club Billicanas’ wakati wa uzinduzi wa video mpya ya Queen Darleen  ‘Wanatetemeka’ aliyomshirikisha Shilole.
Shoo hiyo iliyopata idadi kubwa ya wahudhuriaji, ilikwenda sambamba na  sapraizi kutoka kwa Diamond Platnumz aliyepanda jukwaani kwa kushtukiza na kuimba pamoja na  dada yake huyo hali iliyopelekea ukumbi kulipuka kwa kelele.
Hivi ndivyo mambo  yalivyokuwa.
PICHA ZA UZINDUZI WA VIDEO YA QUEEN DARLEEN ‘WANATETEMEKA’ CLUB BILLICANAS.  PICHA ZA UZINDUZI WA VIDEO YA QUEEN DARLEEN ‘WANATETEMEKA’ CLUB BILLICANAS. Reviewed by crispaseve on 02:02 Rating: 5

No comments

Post AD