Header AD

Tazama Picha Mbalimbali Za Wajumbe Wa Bunge Maalum La Katiba Wakiwa Kwenye Kamati Mbalimbali Leo mjini Dodoma



 Mwenyekiti wa Kamati namba tano(5) ya Bunge Maalum la Katiba Hamad Rashid Mohamed (katikati) akiongoza mjadala wa Kamati hiyo leo mjini Dodoma wakati wanapitia vifungu mbalimbali vya rasimu ya Katiba mpya.
 Mwenyekiti wa Kamati namba kumi(10) ya Bunge Maalum la Katiba Paul Kimiti (katikati) akiongoza mjadala wa Kamati hiyo leo mjini Dodoma wakati wanapitia vifungu mbalimbali vya rasimu ya Katiba mpya.
 Mwenyekiti wa Kamati namba kumi na moja(11) Anna Kilango akiongea na waandishi wa habari juu ya mambo yaliyojitokeza katika kikao cha Kamati hiyo wakati wanapitia rasimu ya Katiba mpya.
 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Salehe Nassoro Juma akitoa mchango wake leo mjini Dodoma kuhusu muundo wa muungano wakati wa kikao cha Kamati namba nne (4) kilichokuwa kinapitia vifungu mbalimbali vya rasimu ya Katiba mpya.
Tazama Picha Mbalimbali Za Wajumbe Wa Bunge Maalum La Katiba Wakiwa Kwenye Kamati Mbalimbali Leo mjini Dodoma Tazama Picha Mbalimbali Za Wajumbe Wa Bunge Maalum La Katiba Wakiwa Kwenye Kamati Mbalimbali Leo mjini Dodoma Reviewed by crispaseve on 06:41 Rating: 5

No comments

Post AD