Header AD

DEO FILIKUNJOMBE ANDAA SEMINA KWA VIONGOZI WA CCM WILAYA YA LUDEWA




1a
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndugu Vuai Ali Vuai akifungua semina ya wenyeviti, Makatibu na Makatibu Wenezi wa CCM wilaya ya Ludewa 3aMwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ludewa Ndugu Stanley Kolimba akimkaribisha Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndugu Vuai Ali Vuai ili kufungua rasmi semina hiyo ya kimafunzo kwa viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ludewa. 6a
Matson Chizii Mkurugenzi wa Uchaguzi Mstaafu CCM kulia akinyanya mkono juu wakati washiriki wa semina hiyo wakiimba wimbo maalum wa CCM 16a
DEO FILIKUNJOMBE ANDAA SEMINA KWA VIONGOZI WA CCM WILAYA YA LUDEWA  DEO FILIKUNJOMBE ANDAA SEMINA KWA VIONGOZI WA CCM WILAYA YA LUDEWA Reviewed by crispaseve on 13:54 Rating: 5

No comments

Post AD