MAKAMU WA RAIS WA CHINA AREJEA NCHINI KWAO.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Li Yuanchao (kushoto) pamoja
na Makamu wa Rais wa Tanzania, Mhe, Dkt. Gharib Bilal (kulia) wakipeana
maneno ya mwisho katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere
jijini Dar es Salaam ikiwa ishara ya kuagana baada ya kumaliza ziara
yake ya siku sita.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Li Yuanchao (kulia) akiwa
katika picha ya pamoja na na Makamu wa Rais wa Tanzania, Mhe, Dkt.
Gharib Bilal (kushoto) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu
Nyerere jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Li Yuanchao akiwapungua mkono
baadhi ya viongozi pamoja na wananchi waliokuja kumugaga katika Kiwanja
cha Ndege cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam mara
baada ya kukamilisha ziara yake nchini.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Li Yuanchao akimpa mkono wa
shukurani Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Dkt.
Fenella Mukangara kabla ya kuanza safari yake ya kurudi nchini kwake.PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-MAELEZO.
MAKAMU WA RAIS WA CHINA AREJEA NCHINI KWAO.
Reviewed by crispaseve
on
23:36
Rating:

Post a Comment