MKURUGENZI WA KIWANDA CHA MONABAN CHA JIJINI ARUSHA ASIMIKWA RASMI KUWA KAMANDA WA VIJANA UVCCM MKOA

Makamu
mwenyekiti UVCCM Taifa Mboni Mhita akimuapisha Mkurugenzi wa kiwanda
cha kuzalisha unga kilichopo jijini Arusha Bw.Philemon Mollel kuwa
kamanda wa vijana UVCCM Mkoa sherehe zilizofanyika juzi jijini Arusha na
kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa chama hicho
Mkurugenzi
wa kiwanda cha kuzalisha unga kilichopo jijini Arusha Bw.Philemon
Mollel akiapa kuwa kamanda wa vijana UVCCM Mkoa sherehe zilizofanyika
juzi jijini Arusha na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa chama hicho
Mkurugenzi
wa kiwanda cha kuzalisha unga kilichopo jijini Arusha Bw.Philemon
Mollel akiwa ameshililia ngao mkuki ishara ya kusimikwa rasmi kuwa
kamanda wa vijana UVCCM Mkoa sherehe zilizofanyika juzi jijini Arusha na
kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa chama hicho
MKURUGENZI WA KIWANDA CHA MONABAN CHA JIJINI ARUSHA ASIMIKWA RASMI KUWA KAMANDA WA VIJANA UVCCM MKOA
Reviewed by crispaseve
on
22:51
Rating:
Post a Comment