Mwili wa msanii mkongwe wa maigizo nchini, Mzee Small, umezikwa katika makaburi ya Segerea, Dar es Salaam leo. Mamia ya watu walihudhuria maziko yake. (PICHA NA GLOBAL)
Post a Comment