PICHA: WAZIRI WA NISHATI NA MADINI, PROF SOSPETER MUHONGO, AKUTANA NA MR MAYANK BHARGAVA AKIWEMO MR PAUL HINKS MJINI WASHINGTON, DC
Mhe.
Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo akifanya mazungumuzo
na Mr. Mayank Bhargava Mkurugenzi mwendeshaji wa kampuni ya Next Gen
Solar USA kwenye ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya
Jumanne June 10, 2014. Katika mazungumuzo hayo alikuwemo Balozi wa
Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula na ujumbe wa Mhe. Waziri
wa Nishati na Madini aliokuja nao kutoka Tanzania.
Mhe.
Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhomgo akifanya mazungumuzo
na Mr. Mayank Bhargava Mkurugenzi mwendeshaji wa kampuni ya Next Gen
Solar USA akiwemo mweyeji wake Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe.
Liberata Mulamula na ujumbe wa Mhe. Waziri wa Nishati na Madini aliokuja
nao toka Tanzania.
Balozi
wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula na ujumbe wa Mhe.
Waziri wa Nishati na Madini wakifuatilia mazungumuzo hayo yaliyofanyika
siku ya Jumanne June 10, 2014 kwenye ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini
Marekani.
Mhe.
Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhonho, Balozi wa Tanzania
nchini Marekani. Mhe. Liberata Mulamula na uhujmbe wa Mhe. Waziri wa
Nishati na Madini wakiwa katika picha ya pamoja na Mr. Mayank Bhargava
Mkurugenzi mwendeshaji wa kampuni ya Next Gen Solar USA
Mhe.
Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo akimsikiliza Mr.
Paul Hinks wa Symbion Power ambaye ni mmiliki wa kampuni hiyo alipofanya
mazungumuzo nae siku ya Jumanne June 10, 2014 kwenye ofisi za Ubalozi
wa Tanzania nchini Marekani.
Mhe.
Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo, Balozi wa Tanzania
nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula na ujumbe wa Mhe. Waziri wa
Nishati na Madini wakifuatilia mazungumuzo na Mr. Paul Hinks CEO wa
kampuni ya Symbion Power.
Mr. Paul Hinks CEO wa kampuni ya Symbion Power. akimsiliza Mhe. Waziri wa Nishati na Madini Prof Sosspeter Muhongo.
Mazungumuzo yakiendelea.
PICHA: WAZIRI WA NISHATI NA MADINI, PROF SOSPETER MUHONGO, AKUTANA NA MR MAYANK BHARGAVA AKIWEMO MR PAUL HINKS MJINI WASHINGTON, DC
Reviewed by crispaseve
on
02:09
Rating:
Post a Comment