PICHA ZA MAZIKO YA BONDIA MAREHEMU IRAQ HUDU 'MKUMWENA' KIMBUNGA ALIVYOZIKWA KATIKA MAKABURI YA KISUTU
Jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu Iraq Hudu 'Mkumwena' wakipeleka mwili kuzika katika makaburi ya Kisutu Dar es salaam kwa ajili ya kumuhifadhi. |
Baadhi ya waombelezaji wakitia udongo
katika kaburi la marehemu Iraq Hudu wakati wa maziko yaliyofanyika leo
katika makaburi ya Kisutu Dar es salaam .
Mashekhe wakisoma duwa kabla ya kwenda kuzika
|
Baadhi ya waombelezaji na mabondia wakiwa nyumbani kwa marehemu
Iraq Hudu kutoka kushoto ni bondia Adwer George, Rashidi Matumla, Rais
wa Oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini Yasini Abdallah na
Mwenyekiti wa Shiwata Cassim Twalibu Picha na www.superdboxingcoach. blogspot.com
Mtoto wa Marehemu Iraq Hudu, Daniel Hudu kushoto akisalimiana
mabondia Adrwe George,Rashidi Matumla na Rais wa TPBO Yassin Abdallah
Meneja wa bendi ya msondo ngoma Said Kibiriti akisalimiana na mabondia
Baadhi ya waombelezaji waliojitokeza
Mtangazaji Maulid Baraka Kitenge akizungumza na mabondia mbalimbali wakati wa msiba wa bondia Iraq Hudu.
PICHA ZA MAZIKO YA BONDIA MAREHEMU IRAQ HUDU 'MKUMWENA' KIMBUNGA ALIVYOZIKWA KATIKA MAKABURI YA KISUTU
Reviewed by crispaseve
on
14:01
Rating:
Post a Comment