Rais kikwete ashiriki Tamasha la Uzalendo leo mjini Dodoma
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakiwa katika picha
ya pamoja na wasanii mbalimbali wakati wa Tamasha la Uzalendo na
uzinduzi wa Video ya Wimbo Maalum wa Mika 50 ya Muungano wa Tanganyika
na Zanzibar zinazoendelea hivi sasa katika uwanja wa Jamhuri mjini
Dodoma jioni hii. Picha na Freddy Maro
Rais kikwete ashiriki Tamasha la Uzalendo leo mjini Dodoma
Reviewed by crispaseve
on
13:52
Rating:
Post a Comment