PICHA:MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE AWASILI KIGOMA AKIWA MGENI RASMI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA UCHANGIAJI DAMU SALAMA KITAIFA.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea ua kutoka kwa Mtoto Mosi Kimosa ,7,
anayesoma darasa la pili katika shule ya msingi Msimba iliyoko Kigoma
Vijijini na Trisa Luziga,6, anayesoma darasa la kwanza mara baada ya
Mama Salma kutua katika uwanja wa ndege wa Kigoma
Mkuu
wa Mkoa wa Kigoma Mheshimiwa Issa Machibya akimpokea rasmi Mke wa Rais
Mama Salma Kikwete mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa
Kigoma Mama Salma yuko mkoani humo kuhudhuria maadhimisho ya siku ya
uchangiaji damu salama duniani inayoadhimishwa kitaifa mkoani Kigoma leo
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akishiriki kucheza ngoma za utamaduni
zilizokuwa zikichezwa na akinamama wa Kigoma wakati alipowasili kwenye
uwanja wa ndege wa Kigoma kushiriki maadhimisho ya siku ya uchangiaji
damu salama duniani inayoadhimishwa kitaifa mkoani humo leo
PICHA:MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE AWASILI KIGOMA AKIWA MGENI RASMI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA UCHANGIAJI DAMU SALAMA KITAIFA.
Reviewed by crispaseve
on
13:48
Rating:
Post a Comment