TBL YAWAPATIA WAKULIMA ELIMU YA UZALISHAJI BORA WA ZAO LA SHAYIRI
Joel
Msechu mtaalamu wa zao la shayiri kutoka Kampuni ya Bia Tanzania (TBL)
akiwaonesha wakulima magonjwa wa shayiri na namna ya kuzuia magonjwa
hayo katika katika mashamba yaliyopo Kijiji cha Emairete Monduli juu,
mkoani Arusha. Wakulima hao huwezeshwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL)
katika uzalishaji wa zao hilo ambalo ni malighafi ya kutengenezea bia
zinzozalishwa na kampuni hiyo.
Meneja
wa Zao la Shayiri Dk. Bennie Basson akiwaonesha wakulima kijitabu cha
muongozo wa kilimo cha shayiri katika Kijiji cha Emairete Monduli juu,
mkoani Arusha juzi. Wakulima hao huwezeshwa na Kampuni ya Bia Tanzania
(TBL) katika uzalishaji wa zao hilo ambalo ni malighafi ya kutengenezea
bia zinzozalishwa na kampuni hiyo.
Meneja
wa Shayiri wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) D.. Bennie Basson
akizungumza na wakulima wa shayiri ktk kijiji cha Emairete Monduli juu,
mkoani Arusha. Wakulima hao huwezeshwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL)
katika uzalishaji wa zao hilo ambalo ni malighafi ya kutengenezea bia
zinazozalishwa na kampuni hiyo.
Meneja
wa Zao la Shayiri Dk. Bennie Basson akiwaonesha wakulima wa shayiri
chati ya matumizi ya mbolea na viuatilifu vinavyoweza kuongeza mavuno ya
shayiri katika Kijiji cha Emairete Monduli juu, mkoani Arusha. Wakulima
hao huwezeshwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) katika uzalishaji wa
zao hilo ambalo ni malighafi ya kutengenezea bia zinazozalishwa na
kampuni hiyo.
Meneja
wa Zao la Shayiri Dk. Bennie Basson, akiwaonesha magugu ambayo ni
hatari kwa zao la shayiri alipowatembelea wakulima wa zao hilo Kijiji
cha Emairete Monduli juu, mkoani Arusha juzi. Wakulima hao huwezeshwa na
Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) katika uzalishaji wa zao hilo ambalo ni
malighafi ya kutengenezea bia zinazozalishwa na kampuni hiyo.
Mtafiti
wa zao la shayiri Geremia Mremi kutoka Kampuni ya Bia Tanzania (TBL)
akitoa elimu juu ya mbegu bora zilizothibitishwa kutoka TBL
alipowatembelea wakulima wa zao hilo katika Kijiji cha Emairete Monduli
juu, mkoani Arusha juzi. Wakulima hao huwezeshwa na Kampuni ya Bia
Tanzania (TBL) katika uzalishaji wa zao hilo ambalo ni malighafi ya
kutengenezea bia zinazozalishwa na kampuni hiyo.
TBL YAWAPATIA WAKULIMA ELIMU YA UZALISHAJI BORA WA ZAO LA SHAYIRI
Reviewed by crispaseve
on
13:12
Rating:
Post a Comment