BEHIND THE SCENES : PICHA 8 ZA UCHUKUAJI WA VIDEO MPYA YA CYRIL KAMIKAZE ‘ALOWA’
Hitmaker wa Nipo Juu,
Cyrill kamikaze AKA Singida Boy ameanza zoezi la kushoot video mpya ya
ngoma yake ”Alowa” na hizi ni baadhi ya picha za ‘behind the scenes za
uchukuaji wa video hiyo . Zitupie jicho Hapo Chini.
Cyrill Kamikaze
Jux na Dancers wa Soundtrack Crew ambao wamehusika kwenye video ya Alowa
Jux, Mtangazaji wa Clouds Fm ‘Perfect, Kamikaze na Gigga Flow
Wakacha Warriors
BEHIND THE SCENES : PICHA 8 ZA UCHUKUAJI WA VIDEO MPYA YA CYRIL KAMIKAZE ‘ALOWA’
Reviewed by crispaseve
on
01:51
Rating:

Post a Comment