Header AD

DWYANE WADE NA GABRIELLE UNION WALA FUNGATE(HONEYMOON) TANZANIA


Wade na Gabrielle katika pozi
Mcheza kikapu nyota wa Timu ya Miami Heat, Dwyane Wade na mkewe muigizaji Gabrielle Union ambao walifunga ndoa Agosti 30 mwaka huu, wameamua kula fungate lao(honeymoon) barani Africa kwa kutembelea mbuga ya wanyama ya Serengeti iliyopo mkoani Mara nchini Tanzania kwa ajili ya kujionea vivutio mbalimbali.
Mastaa hao hawakuishia hapo bali walipata pia nafasi ya kutembelea kisiwa cha Maldives kilichopo katika pwani ya Bahari ya Hindi na kutupia picha kadhaa kwenye akaunti zao rasmi za mitandao ya kijamii kama vile Twitter, facebook na Instagram.
“Pure joy! Life on the Serengeti. #Tanzania #Masai #2ndLeg.” aliandika Gab kwenye ukurasa wake wa Instagram
Dwyane
Dwyane na mkewe Gabrielle Union wakipata ukodaki na wamasai ndani ya mbuga ya Serengeti
Gab
Muigizaji nyota wa Hollywood, Gabrielle Union akibarizi upepo mwanana kisiwani Maldives

Selfie kwa sana
DWYANE WADE NA GABRIELLE UNION WALA FUNGATE(HONEYMOON) TANZANIA DWYANE WADE NA GABRIELLE UNION WALA FUNGATE(HONEYMOON) TANZANIA Reviewed by crispaseve on 01:27 Rating: 5

No comments

Post AD