PROFESSOR JAY KUZINDUA VIDEO MBILI KWA MPIGO JUMAMOSI HII(SEPTEMBA 13) NDANI YA TEN LOUNGE
Gwiji wa muziki wa HipHop Bongo, Joseph Haule AKA Professor
Jay ameamua kuwapa zawadi mashabiki na wapenzi wa muziki wake kwa
kuwaalika kwenye uzinduzi wa video zake mbili mpya ambazo ni Tatu Chafu
na Kipi Sijasikia Jumamosi hii(Septemba 13) ndani ya ukumbi wa Ten
lounge zamani ukifahamika kama Letasi Lounge uliopo eneo la Victoria
jijini Dar es salaam sambamba na kuwaangusha shoo ya nguvu kwa mtonyo wa
buku 10 tuu. Hii si ya kukosa mtu wangu!!! NiShedah!!
PROFESSOR JAY KUZINDUA VIDEO MBILI KWA MPIGO JUMAMOSI HII(SEPTEMBA 13) NDANI YA TEN LOUNGE
Reviewed by crispaseve
on
01:21
Rating:

Post a Comment