Header AD

FALCAO ATUA MAN UNITED, WELBECK ASAJILIWA NA WASHIKA MTUTU WA javascript:;JIJI LA LONDON ‘ARSENAL’

Dirisha la usajili wa kimataifa limefungwa jana ikiwa ligi kuu ya soka ya England imetumia pauni milioni 835 kiasi kikubwa kuliko mwaka jana ambapo walitumia pauni milioni 760.
Timu ya Manchester United pekee  imetumia karibu pauni milioni 150 pamoja na kumchukua kwa mkopo Ramadel  Falcao toka Monaco ya ufaransa kwa pauni milioni 6 na kuwauzia Arsenal Danny Wilbeck kwa pauni milioni 16.
Falcao
Falcao akiwa ametinga uzi mpya wa Man United
Danny Welbeck
Danny Welbeck
Welbeck amepewa jezi yenye namba 23  mgongoni
 Welbeck atakuwa akivaa jezi yenye namba 23 mgongoni ambayo ilikuwa ikivaliwa na beki wa zamani wa timu hiyo Sol Campbell.
FALCAO ATUA MAN UNITED, WELBECK ASAJILIWA NA WASHIKA MTUTU WA javascript:;JIJI LA LONDON ‘ARSENAL’ FALCAO ATUA MAN UNITED, WELBECK ASAJILIWA NA WASHIKA MTUTU WA javascript:;JIJI LA LONDON ‘ARSENAL’ Reviewed by crispaseve on 08:17 Rating: 5

No comments

Post AD