KALI YA MWAKA!!! SNOOP DOGG ABADILI JINA NA KUJICHUBUA KAMA MICHAEL JACKSON
Awali alikuwa akijiita Snoop Doggy, alafu akabadili tena jina
na kujiita Snoop Lion, ila safari hii amekuja na kali kuliko zote baada
ya kujipachika jina jipya la Todd huku akiwa ametinga wigi la kike na
kujichubua sura utasema mzungu.
Snoop alifanywa make up hiyo wakati wa utengenezaji wa
tangazo kwa ajili ya kuipigia debe tovuti ya ”White Dudes connect”
inayojihusisha na masuala ya mahusiano. Mtazame hapo chini uvunje mbavu
zako.
Todd katika pozi
Ni mambo tuu ya Make – Up
KALI YA MWAKA!!! SNOOP DOGG ABADILI JINA NA KUJICHUBUA KAMA MICHAEL JACKSON
Reviewed by crispaseve
on
08:19
Rating:

Post a Comment