HEMEDY PHD ATAZAMIA KUITWA BABA
Baada ya kumtangaza rasmi
mkewe mtarajiwa, hitamaker wa Far Away, Hemedy Suleiman AKA Pappination
ameonyesha kila dalili za kutaka kuitwa baba kufuatia picha kadhaa
ambazo amekuwa akiziposti kwenye ukurasa wake wa Instagram zinazoashiria
wazi dhamira yake hiyo.
#This is all im wishing right now to make my mama happy!!…Me
chilling with my handsome son or my beautiful daughter inshallah!!WA
KIUME anaitwa MUSIQ wa kike anaitwa MELODY!…#Fatherhood wishes. aliandika Hemedy
HEMEDY PHD ATAZAMIA KUITWA BABA
Reviewed by crispaseve
on
01:58
Rating:

Post a Comment