Header AD

AUNTY EZEKIEL ALAMBA DILI NONO

Angels

Msanii nyota wa Bongo Movie na Mjasiriamali, Aunty Ezekiel AKA Gwantwa amepata shavu la kutangaza bidhaa mpya za kike aina ya Angels Pads.
Aunty ameshea picha kadhaa kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa katika zoezi zima la uchukuaji wa picha kwa ajili ya bidhaa hizo.
Angels Pads Zikiwa katika Ubora wa hali ya juu’in mchina is voice 😥 Hawa nw days wote wanajua kiswahili aisee 😓 ANGELS PADS COMING SOON ”.  aliandika Aunty Ezekiel
Angels
Untitled
Aunty
A1
AUNTY EZEKIEL ALAMBA DILI NONO AUNTY EZEKIEL ALAMBA DILI NONO Reviewed by crispaseve on 02:00 Rating: 5

No comments

Post AD