Header AD

MILEY CYRUS ATINGA KWENYE PARTY KIFUA WAZI

Miley-Topless-For-Party

Staa wa Wrecking Ball, Miley Cyrus ametoa kihoja cha mwaka baada ya kutinga kwenye  pati ya mbunifu wa mavazi ‘Alexander Wang’ New York Fashion Week  jumamosi iliyopita(Septemba 06) akiwa hajavaa kitu chochote kifuani zaidi ya kuziba chuchu zake na Ice Cream Cone. Mtazame Hapo Chini…
Miley-Topless-For-Party
Miley Cyrus akiwasili kwenye viunga vya klabu kifua wazi
934808_10152746437562147_3515635555186850963_n
Miley Cyrus katika picha na Alexander Wang
MILEY CYRUS ATINGA KWENYE PARTY KIFUA WAZI MILEY CYRUS ATINGA KWENYE PARTY KIFUA WAZI Reviewed by crispaseve on 02:02 Rating: 5

No comments

Post AD