Header AD

Q-CHILLAH: CHUJI, NIYONZIMA NA MANGWAIR NDIYO WALIOOKOA MAISHA YANGU


Mwanamuziki nguli wa Bongo Fleva, Aboubakar Shaaban Katwila ‘Q- Chillah’, katika mahojiano yake na Global TV Online sehemu ya PILI amefunguka mambo kibao yakiwemo haya:
Q-Chillah akifikiria jambo wakati akihojiwa na Global TV Online.
- Safari yake ya maumivu - Maamuzi ya kutaka kujiua ambapo amewataja Athuman Idd Chuji, Haruna Niyonzima    na Marehemu Albert Mangwair kuwa ndiyo waliomnusuru asijiue - Kuhusu kurogwa, Q-Chillah amekanusha kuwa hajawahi kutamka hayo maneno wala    kumtaja mtu yeyote
Q-Chillah akionyesha Cd ya wimbo wake mpya uitwao 'Nipende Nikupende' aliofanya na MB Dog. 
- Aelezea hisia za baba yake - Kuvunjika kwa Top Band - Pia amefunguka kuhusu kifo cha rafiki yake Adam Kuambiana - Kuhusu ujio wake mpya - Game ya muziki anavyoiona baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu
Q-CHILLAH: CHUJI, NIYONZIMA NA MANGWAIR NDIYO WALIOOKOA MAISHA YANGU Q-CHILLAH: CHUJI, NIYONZIMA NA MANGWAIR NDIYO WALIOOKOA MAISHA YANGU Reviewed by crispaseve on 02:41 Rating: 5

No comments

Post AD