KINANA AZINDUA MRADI WA MAJI MUYUYU NA KIKUNDI CHA UTENGENEZAJI BATIKI KIBITI RUFIJI
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimtwisha ndoo ya maji mama mmoja wa
Kijiji cha Muyuyu, katika Jimbo la Kibiti, alipozindua mradi wa maji
katika Kijiji cha Muyuyu, wakati wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa
chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani
ya Uchaguzi ya CCM mkoani Pwani.
Katibu
wa Ityikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, akihutubia katika Kijiji cha
Mchukwi ambapo Kinana alikwenda kuzindua kikundi cha Akina mama cha
kutengeneza batiki.
| Kinana akisaidia kutengeza batiki katika kijiji cha Mchukwi |
KINANA AZINDUA MRADI WA MAJI MUYUYU NA KIKUNDI CHA UTENGENEZAJI BATIKI KIBITI RUFIJI
Reviewed by crispaseve
on
03:12
Rating:

Post a Comment