Header AD

KOMEDIANI JOAN RIVERS AFARIKI DUNIA

Marehemu Joan Rivers enzi za uhai wake.
KOMEDIANI maarufu nchini Marekani, Joan Rivers amefariki dunia jana akiwa na miaka 81 baada ya kusumbuliwa na maradhi ya moyo.

Binti wa marehemu Joan aitwaye Melissa Rivers.
Joan amefariki akiwa katika Hospitali ya Manhattan nchini Marekani.
Taarifa iliyotolewa na binti wa marehemu aitwaye Melissa Rivers ilisema mama yake alifariki dunia kwa amani akiwa amezungukwa na familia…

Marehemu Joan Rivers enzi za uhai wake.
KOMEDIANI maarufu nchini Marekani, Joan Rivers amefariki dunia jana akiwa na miaka 81 baada ya kusumbuliwa na maradhi ya moyo.

Binti wa marehemu Joan aitwaye Melissa Rivers.
Joan amefariki akiwa katika Hospitali ya Manhattan nchini Marekani.
Taarifa iliyotolewa na binti wa marehemu aitwaye Melissa Rivers ilisema mama yake alifariki dunia kwa amani akiwa amezungukwa na familia yake.

Picha ya mwisho stejini ya marehemu Joan iliyopigwa Agosti 27 mwaka huu.
Mazishi ya lejendari huyo katika vichekesho yanatarajiwa kufanyika Jumapili hii Septemba 7, mwaka huu.
KOMEDIANI JOAN RIVERS AFARIKI DUNIA KOMEDIANI JOAN RIVERS AFARIKI DUNIA Reviewed by crispaseve on 06:09 Rating: 5

No comments

Post AD